TAG CCC ZANZIBAR

  TAG CCC ZNZ: Under Rev

 Pastor : Dixon D Kaganga

  Location : Kariakoo Area Zanzibar

Near by Poster Offices Heading TownSee Maps Under

TAG CCC Kariakoo Zanzibar there are different Services from   Monday to Sunday Karibu sanatazama Time Tableyetu                                                              ©

Mpendwa Bwana Yesu asifiwe!
Ushirika wetu wa City Christian Center (ccc) unakua kwa kasi kubwa sana, Haya ni matokeo ya maombi yetu, hata hivyo kwa kuwa ushirika unakua kwa kasi hiki kuna hatari ya kutokujuana na wengine kuwa katika matatizo pasipo kanisa kufahamu kwa wakati, na ndiyo maana Ibada za ZONE zimeundwa na kuwa suluhu la tatizo. hivyo Hakikisha unapokuwa nasi unajulikana katika ZONE yako na unahudhulia ibada ya ZONE.
  •  Katika Zone tunakuwa na ukaribu kama familia ya ccc
  • Tunasaidiana wakati wa shida, misiba na kufarijiana
  •  Tuanatiana  moyo katika safari ya mbinguni na kujenga kiroho
  • Tunapata fursa ya kutumika katika huduma mbalimbali tunatumia vipawa tulivyopewa kama kuhubiri, kufundisha, kuongoza mijadala kuhusu neno la Mungu. kuimba, kuomba, kuombeana nk.
       “IJUE  ZONE  YAKO NA KIONGOZI” tuna jumla ya Zone zipatazo kumi mahalimahali kwa sasa!


Leave a comment

Leave a comment